WASHIRIKI WA MANJANO FOUNDATION WAJUMUIKA KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE MKOANI WA MWANZA
Wanufaika wa Mradi wa Taasisi ya Manjano Foundation Mkoa wa Mwanza washiriki Kongamano lililowakutanisha wanawake Jijini Mwanza kupata elimu ya kujikwamua kiuchumi katika masuala mbalimbali ikiwemo biashara/Ujasiriamali pamoja na mahusiano Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mmoja wa Washauri wa Manjano Dream makers Bi Mboni Masimba
0 comments: