ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI MANJANO FOUNDATION MKOANI MWANZA

10:42 Jason 0 Comments

Ziara ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser Mkoani Mwanza Alipowatembelea Baadhi ya Walionufaika na Mradi wa Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi Kupitia Taasisi ya Manjano Foundition, Kujionea Hatua Mbalimbali walizofikia Tangu waliponufaika na mradi huo mwanzoni wa mwaka huu. Washiriki hao walipata mafunzo ya ujasiriamali, utunzaji wa mahesabu pamoja na ujuzi wa kupamba maharusi. Pia washiriki wote walipewa mitaji ya kuwawezesha waanze biashara ya kuuza vipodozi pamoja na kupamba wateja wao kwa kutumia bidhaa za LuvTouch. Hivi sasa takribani wote wako vizuri katika fani hiyo ya urembo wakiwezeshwa na kipodozi pendwa cha LuvTouchManjano









0 comments: