MUONEKANO WA CHUO CHA UREMBO MANJANO BEAUTY ACADEMY

11:35 Jason 15 Comments

Manjano Beauty Academy ni Chuo cha Urembo kinachosimamiwa na wataalamu wa vipodozi nchini. Chuo kina walimu wenye ujuzi wa juu kabisa na kimeshaibu vipaji vya wasichana wengi nchini tena kimejitosheleza na bidhaa na vifaa vya kisasa ili kuifanya ndoto yako iwe kweli







15 comments:

  1. naitaji mawasiliano na vigezo vp munaagalia ndo mtu aweze kujiunga na chuo chenu

    ReplyDelete
  2. 0763064033 namba yangu naomba tuwasiane kwani nauitaji sana

    ReplyDelete
  3. jamani nataka kujua chuo hicho kipo wapi ada zake na vigezo vingine vyoteeee

    ReplyDelete
  4. Nina uhitaji naomba munitajie chuo kpo wapi na namba kwa ajili ya mawasiliano

    ReplyDelete
  5. Nahitaji kuapply naomba mnitumie kuhusu vigezo ada nipo arusha na chuo kinapatikana wapi

    ReplyDelete
  6. Ninauhitaji sana na hicho chuo je mnaangalia vigezo gani na ada yake ni shingapi na inatakiwa ilipwe kwa muda gani

    ReplyDelete
  7. Ninauhitaji sana na hicho chuo je mnaangalia vigezo gani na ada yake ni shingapi na inatakiwa ilipwe kwa muda gani

    ReplyDelete
  8. Ada take ni shigapi na usahili umeaza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usaili mpya kila mwanzo wa mwezi piga simu 0686997888

      Delete
  9. Replies
    1. Kipo kawe karibu na Golf club na Triple 7 kama unatoka mikocheni shuka kituo cha JKT

      Delete
  10. How much the cost for the seleted caurse and duration???

    ReplyDelete