PICHA ZA MATUKIO YOTE UFUNGUZI WA CHUO CHA UREMBO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY
Wageni Waalikwa Walioodhuria Ufunguzi wa Awali wa Chuo cha Manjano Beauty Academy Umefanyika leo.Kwa Muhula Ulioanza leo Wanafunzi watapata mafunzo ya nadharia na vitendo kwa ajili ya kozi ya urembo yaani Wanafunzi wa Kwanza wa Chuo cha Manjano Beauty Academy.
I love learning! I love to make up someone and me as well . congratulations
ReplyDelete