WANAFUNZI WA CHUO CHA UREMBO MANJANO BEAUTY ACADEMY WAANZA KUPATA UJUZI ZAIDI KUHUSU MASWALA YA UREMBO

13:30 Jason 2 Comments

Wiki hizi za mwanzo ni mafunzo yanayohusiana na elimu nadharia ya upodozi. nadharia tu. Mfano, matunzo ya ngozi, Anatomia na Physiologia ya ngozi, misuli ya usoni, kucha, aina za ngozi, usafi na usalama (health & safety), uwasilishaji wa mfano wa mteja Tamko la dhima la Manjano Beauty Academy ni kuweka viwango vya hali ya juu kabisa kwa kutoa mafunzo yenye matokeo ya uhakika ili kumpatia mwanafunzi uwezo ulio mzuri kabisa, unaoweza kupimika na kufikika kwa kumtia moyo na kumletea maendeleo yake binafsi.

2 comments:

  1. nice dress uniform realty , here in iringa mafinga we are appreciating you, keep up

    ReplyDelete
  2. Unapatikana wapi kwa Dares salaam?

    ReplyDelete