MANJANO DREAM MAKERS WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI KWENYE BIASHARA
Afisa Mtendaji mkuu wa Shear illusions na Mkurugenzi Mtendaji wa Tassisi ya Manjano Foundation akizungumza na Wanawake wa Jiji la Dr es salaam walipokutana Kujadili Mambo mabalimbali ikiwemo Mafanikio na Changamoto Zinazowakabili katika Biashara zao.
Baadhi ya wanawake wa jiji la Dar es salaam walionufaika na Mradi wa Manjano Foundation walipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Kujadili Changamoto zinazowakabili kwenye Biashara zao kwa sasa
0 comments: