MAHAFALI YA PILI YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

MAHAFALI YA PILI YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Wahitimu wa Chuo cha Urembo cha Manjano wametunikiwa vyeti katika nyanja ya urembo na vipodozi (Cosmetology). Baadhi ya wahitimu waliofika kwenye mahafali hayo walivikwa taji kama ishara ya mafanikio ya kitaaluma, na kuweka alama kwenye hatua muhimu katika maendeleo yao ya kitaaluma kwenyeContinue reading
On 22:32

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WA KIGOMA

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WA KIGOMA

Mradi wa Kuwawezesha vijana wa kike na wanawake kiuchumi kupitia Tasnia ya Urembo na Vipodozi ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wamemaliza mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Kigoma Yaliofanyika kwa wiki mbili kwenye ukumbi wa SIDOContinue reading
On 04:58

CHAMA CHA WATAALAMU WA UREMBO NA VIPODOZI TANZANIA (CWUVT) CHAANZISHWA KUENDANA NA SERA ZA AWAMU YA TANO

CHAMA CHA WATAALAMU WA UREMBO NA VIPODOZI TANZANIA (CWUVT) CHAANZISHWA KUENDANA NA SERA ZA AWAMU YA TANO

Chama cha Wataalam wa Urembo na Vipodozi Tanzania (CWUVT) wakutana Jijini Dar es salam kwa lengo la kuwakutanisha  pamoja wataalamu wa ngozi, wataalamu wa urembo, wataalam wa saluni,  wasambazaji na wazalishaji wa bidhaa za vipodozi. Wanachama waasisi wa chama hicho walikutana chini yaContinue reading
On 02:10

NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAKILISHI ZANZIBAR AKUTANA VITAL VOICES GROW MJINI UNGUJA

NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAKILISHI ZANZIBAR AKUTANA VITAL VOICES GROW MJINI UNGUJA

  Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Bi. Mgeni Hassan Juma  Akizungumza na Wanawake wa Kikundi cha Vital Voices Grow Kutoka Nchi za Kusini mwa Bara la Afrika Mjini Unguja. Kikundi cha Vital Voices Grow (VVGrow) kutoka Afrika Kusini  mwa Jangwa laContinue reading
On 01:04

MENEJA WA SIDO MKOA WA MTWARA AZINDUA RASMI MAFUNZO YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI CHINI YA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION

MENEJA WA SIDO MKOA WA MTWARA AZINDUA RASMI MAFUNZO YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI CHINI YA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION

 Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara Joel Chidabwa Akizungumza Machache wakati Akizindua Rasmi mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Mkoa Mtwara akiwa wa Wawezeshaji kutoka Taasisi Ya Manjano Foundation Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara Joel Chidabwa kawataka wanawake wa Mkoa wa MtwaraContinue reading
On 23:59

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION KUWAWEZESHA WANAWAKE WA MTWARA KIUCHUMI

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION KUWAWEZESHA WANAWAKE WA MTWARA KIUCHUMI

Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation wataendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Mtwara kuanzia Jumatatu, tarehe 27 March 2017 kwenye ukumbi wa SIDO Mkoani Mtwara. Mafunzo hayoContinue reading
On 03:43

UZINDUZI WA MAFUNZO YA KUJENGA AJIRA KUPITIA VIPODOZI KWA WANAWAKE JIJINI MBEYA WAFANA

UZINDUZI WA MAFUNZO YA KUJENGA AJIRA KUPITIA VIPODOZI KWA WANAWAKE JIJINI MBEYA WAFANA

 Meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya Henrick Mdede Akizungumza wakati Akifungua Mafunzo ya  Ujasiriamali  Mkoa wa Mbeya  Meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya Henrick Mdede kawataka wanawake wa Mkoa wa Mbeya  kuchangamkia fursa ya ujasiraiamali inayotolewa na Taasisi ya Manjano Foundation. Amesema hayoContinue reading
On 01:19