WAHI SASA UPATE MUONAKANO WA KIPEKEE KABISA

17:00 Jason 0 Comments

Temporary Henna accessories zinakaa kwa siku 3 mpaka 5 ukishabandika na itakuchukua dakika chache tu kufanya mwenyewe nyumbani. Ukitaka kuiondoa saa hiyohiyo unatumia spirit na pamba unapangusa kidogo tu inatoka yote kabisa. Zipo za maua ya kila aina na rangi tofauti pia. Zinapatikana maduka yote ya Shear illusions. Bei ya rejareja paketi moja ni Tsh.15,000 tu. 
Kwa wateja wa jumla wasiliana nasi kupitia WhatsApp only ktk namba +255 764 651 276

0 comments: