MZIGO MPYA UMEWASILI ,WAHI MAPEMA UJIPATIE YAKO
Professional DIY Eyebrow Template Shaping Tool au ulizia Eyebrow Card!
Usipate frustration kama unashindwa kuchora wanja wa nyusi zikawa na uwiano yaani 'symmetrical'. Unaweza kujichora mwenyewe kiurahisi na ukaonekana professional makeup artist. Shear illusions tumekuletea kifaa maalum cha kushape nyusi zako unichora wanja. Hata huna haja ya kutinda nyusi ikiwa una nyusi nyingi na pia kama huna nyusi husaidia kuzishape nyusi zako. Unatumia tu kuchorea wanja wako kiurahisi sana. Ni cha laini na muundo wa plastiki inayo nesanesa, ni rahisi kuisafisha na pia kutulia usoni mwako. Zinapatikana maduka yote ya Shear illusions yaliyopo Mlimani City, Millenium Towers na Kibo Complex-Tegeta. Bei ya reja reja ni Tsh.10,000. Kwa wholesale wasiliana nasi kupitia namba zetu +255 764 651 276
0 comments: