WAJANJA WOTE SASA WANAPATA HUDUMA LUV TOUCH MANJANO MAKEUP STUDIO

09:00 Jason 1 Comments

LuvTouch Manjano Makeup Studio. Inatoa huduma za kitaalam na pia unaweza chagua kuhudumiwa na wanafunzi wetu wa 'Manjano Dream-Makers' kwa bei poa sana kwa sababu wako katika mafunzo yaani practicals. Tembelea Makeup Studio yetu iliyopo Millenium Towers, Kijitonyama au fanya booking kwa kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo +255 764 651 276
+255 656 442 475

1 comment:

  1. Mna hair products nzuri Sana sana sana, my request is mtengeneze pia na leave in conditioner nzuri ya cream na ya spray bottle, pia styling creams, maana kuna watu wengi wameingia kwenye the natural hair community na wanatamani affordable and great hair products

    ReplyDelete