TEMBELEA STUDIO YETU KUPATA MUONEKENO MURUA
Njoo mrembo msomi upambwe kwa ajili ya sherehe yako yakuhitmu elimu yako. Ili muonekano wako uwe bomba kabla ya kufika viwanja vya graduation na kupata picha ya kumbukumbu.
Fika katika Classic Makeup Studio yetu iliyoko Millenium Towers, Makumbusho - Kijitonyama na upate makeup nzuri kwa bei nafuu kabisa.
Wahi sasa kwa ajili ya booking au waweza piga simu kwa namba +255754496668 au +255787648789 utatumiwa
0 comments: