TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAFANIKISHA KUFUNGULIWA KWA MAKE UP STUDIO YOMBO KILAKALA JIJINI DAR ES SALAAM
03:00
Jason
0 Comments
Taasisi Manjano foundation imefanikisha kufunguliwa kwa Make up studio Yombo kilakala Dar es salaam kwa kushiriana na Sauti ya Mama na Mtoto kwA Lengo la kumkonboa mwanamke kiuchumi.Hivyo wakazi wa Yombo na manispaa ya Temeke kwa ujumla mnakaribishwa kujipatia huduma za
urembo kutoka kwa wanafunzi wetu walioandaliwa vizuri kwenye tasnia ya urembo .Tunawaomba muwaunge mkono ili wafanikiwe kupambana na tatizo la ukosefu wa ajira#manjanofoundation
Manjano Dream-Makers is one of such programs designed to create a new network of entrepreneurs, by empowering them by simply using LuvTouch cosmetics products to unlock their barriers.
By investing in girls, we can support a generation of empowered women, mothers, workers and leaders who will improve the lives of everyone around them.
0 comments: